Tuesday, September 25, 2018

You missed form six exams 2018/2019 matokeo ya kidato cha sita 2018/2019

You missed form six results 2018/2019 matokeo ya kidato cha sita 2018/2019

You missed form six results 2018/2019 matokeo ya kidato cha sita 2018/2019 Hello student uliyemaliza kidato cha site matokeo yako yapo kwenye link hapa https://ww.necta.go.tz/results/2018/acsee/acsee.htm If you are looking the result of your friend it is ok just click the link sawa. We know you need to know. Students work hard do not play in schools. msicheze cheze bwana someni maisha magumu sana usipokuwa na elimu. Hakikisha unasoma. Na wale mliopasua paper ya kidato cha site tunawatakia masomo mema huko chuoni sawa. read books get new knowledge and experience.
form six results 2018/2019 


Did you aplied for university accademic year 2018/2019? we wish you all the best to your applicatrion do not foreget to read our blog everyday book mark our main blog www.matokeoyamitihani.com for new knowledge and skills for students. Hakika kwakutembelea blog hii utafanikiwa maishani mwako. Get prepared for future life start hard so than you get scholarship

After you know if you passed your anza kujiandaa kwa maisha ya chuo. chuo sio mchezo mchezo kama vijana wanavyodanganyana. kuna kupiga msuli kama advance na kuna kuamka usiku ukiweka maji kwenye beseni na kutumbukiza miguu ili usipate usingizi unapojisomea. Uzuri wa chuo ukisoma kozi fulani unaitupa kwenye mkoba wako moja kwa moja kwa ajili ya kuwapa madogo wa first year atakaokuja mwakani. Chuo kitamu kama utazingatia nidhamu ya chuo. This is more than university oriation cource i am your professor agree me.comment bellow any question I will reply right now. Happy new life kama matokeo hayakuwa mazuri kwako bado usikate tamaa maisha ni mipango sio kupasua pepa pekee. Unaweza anzisha mradi wako na utakuwa na maisha mazuri kuliko walioenda huko chuo, pia kama ndoto zako ni kuvaa joho bado muda unaruhusu unaweza risiti mtihani na kupata alama zitakazokuwezesha kujiunga na chuo mwakani. My dear student, relative parent we wish you all the best to your success. the end of You missed  form six results 2018/2019 matokeo ya kidato cha sita 2018/2019

0 comments: